
IkFied ni jukwaa la kimataifa lililoanzishwa mwaka 2025 na Issa Kamana (Content Strategist & PR Consultant) ili kuongoza mazungumzo chanya yanayowakilisha halisi ya bara la Afrika na kuwajenga Waafrika wa sasa (change agents).
Categories za ikfied.com:
1. News: Taarifa za kina za biashara, teknolojia, na top stories ili kukupa maarifa kila siku.
2. Business: Mikakati, fursa, na miongozo ya kuwasaidia wajasiriamali kukuza biashara zao.
3. Inspired: Stori za mafanikio na mtazamo chanya wa kukupa nishati ya kufikia malengo yako.
4. Scoop: Dondoo za kipekee stories zinazotrend kwa mtazamo tofauti.
5. Features: Uchambuzi wa kina wa masuala ya kijamii, utamaduni, na maisha.
6. Living: Miongozo ya mitindo ya maisha , ustawi, na kuishi kwa usawa na furaha.
7. Promotions: Fursa kwa chapa na makampuni kufikia hadhira yenye ushawishi kupitia IkFied.
Follow Us on Social Media Platforms:
Facebook: facebook.com/IkFied
Instagram: instagram.com/IkFied
Threads: threads.net/@IkFied
