
Muigizaji Damson Idris ametangazwa rasmi kuwa Balozi wa Kimataifa wa Formula 1 (F1) kufuatia uzinduzi wa kampeni ya ‘All To Drive For’.
Hatua hii imekuja baada ya Idris kupata mafanikio makubwa katika filamu ya F1 The Movie, ambapo aliigiza pamoja na Brad Pitt, filamu ambayo imeweka rekodi mpya kwa kuingiza zaidi ya dola milioni 630 na kuwa filamu ya michezo iliyopata mafanikio makubwa zaidi duniani.
Hongera sana Damson Idris!