Skip to content
IkFied

IkFied

Primary Menu
  • BUSINESS
  • NEWS
  • INSPIRED
  • FEATURES
  • SCOOP
  • LIVING
  • Home
  • SCOOP
  • Damson Idris Ateuliwa Kuwa Balozi Wa Kimataifa Wa F1
  • SCOOP

Damson Idris Ateuliwa Kuwa Balozi Wa Kimataifa Wa F1

April 6, 2026

Muigizaji Damson Idris ametangazwa rasmi kuwa Balozi wa Kimataifa wa Formula 1 (F1) kufuatia uzinduzi wa kampeni ya ‘All To Drive For’.

Hatua hii imekuja baada ya Idris kupata mafanikio makubwa katika filamu ya F1 The Movie, ambapo aliigiza pamoja na Brad Pitt, filamu ambayo imeweka rekodi mpya kwa kuingiza zaidi ya dola milioni 630 na kuwa filamu ya michezo iliyopata mafanikio makubwa zaidi duniani.

Hongera sana Damson Idris!

Tags: Damson Idris

Post navigation

Previous Previous post:

Michael B. Jordan Ashinda Tuzo Ya Oscar Ya Mwigizaji Bora Wa Kiume

img_4798-1.jpg
Next Next post:

Jinsi Ya Kutenganisha Pesa Ya Matumizi Na Mtaji Wa Biashara

img_4951-1.jpg

Related More

Screenshot
  • SCOOP

Sadio Mané Awekeza Dola Milioni 20.4 Kujenga Kiwanda Kikubwa Cha Maembe Bambali

September 28, 2026 0
img_0692
  • SCOOP

Idris Sultan Ku-host Tuzo Kubwa Africa Za The The Future Awards Africa Nchini Nigeria 

September 22, 2026 0
  • CRDB Yazindua SME Biashara Club Kanda Ya Kaskazini Arusha Kuwawezesha Wafanyabiashara
  • Sikuzote Amini Kwamba Kitu Kizuri Kinakaribia Kutokea!
  • Taasisi Ya Flaviana Matata Yaboresha Mazingira Ya Elimu Kwa Wasichana Kimara Sekondari
  • Maisha Hayangoji Uwe Tayari!
  • Glovo Yamteua Reni Onafeko Kuwa Mkurugenzi Mpya Wa Nigeria 
  • ABOUT US
  • COPYRIGHT
  • PRIVACY POLICY
  • TERMS AND CONDITIONS
  • FACEBOOK
  • Instgram
  • THREADS
Copyright © All rights reserved. | ChromeNews by AF themes.