
Victor Glover ni mtu mweusi wa kwanza kusafiri hadi karibu na mwezi baada ya kuhudumu kama rubani wa misheni ya Artemis II ya NASA.
Akiwa na wenzake watatu, chombo chao cha Orion kilizunguka mwezi kwa siku 10 kabla ya kutua salama katika Bahari ya Pasifiki. Safari hiyo ilimfanya Glover kuwa mtu mweusi wa kwanza kuondoka kwenye obiti ya Dunia na kufika katika mazingira ya mwezi.
Mafanikio yake yanathibitisha kuwa ndoto hazina mipaka, wala kikomo, kwa bidii na dhamira, kila mtu anaweza kufikia ndoto zake.
