
It’s Official! Kwa furaha kubwa tunatangaza mwonekano wa nembo yetu mpya ya kisasa. Nembo hii inaakisi ukuaji, ubunifu, mshikamano na ndoto zetu kubwa. Ni alama safi, ya nguvu, inayong’aa na kuakisi safari yetu ya kuelekea kesho bora zaidi.
IkFied ni platform ya kidijitali ya inspiration na lifestyle iliyojikita katika ku-inspire, ku-inform, na ku-uplift Watanzania, Waafrica, na ulimwengu wote. Kupitia nembo hii mpya, tunabeba ujumbe wa chanya, matumaini, upendo, furaha, ubora na mwanga usiozimika.
Huu ni mwanzo wa sura mpya yenye maudhui bora, ya kusisimua, ya kuvutia na yenye kuleta mabadiliko ya kweli. Asanteni sana kwa kuwa nasi kila hatua ya safari hii ya kipekee. IkFied ndipo kila kitu kilipo!
