Uzuri wa Dar es Salaam Kupitia Lensi ya ElishaBrand Picha hii alizoipiga ElishaBrand zinaonyesha wazi kuwa ana kipaji cha pekee na jicho la tofauti sana.

Katika picha hizi, ameweza kunasa wakati mzuri ambapo taa za majengo marefu ya Posta zinawaka na kuonekana kwa uzuri wa ajabu pembeni ya maji ya bahari.

Huu siyo upigaji picha wa kawaida, bali ni ufundi unaofanya jiji la Dar es Salaam lionekane la kisasa na lenye kuvutia kama majiji makubwa duniani.

Hongera sana Elisha brand kwa kazi hii nzuri! 

Photos: Instagram.com/Elishasbrand