IkFiders, tuna furaha kubwa kuwatangazia uzinduzi wa series yetu mpya, IkFied Now!

Kutokana na dhamira yetu ya dhati ya kuendelea kusimamia na kusimulia hadithi zenye maana, IkFied Features imeandaa IkFied NOW mahususi kuwaangazia na kuwapa jukwaa changemakers wanaobadilisha Tanzania na Afrika kwa vitendo.

IkFied imekuwa na imani kuwa kila hadithi ina nguvu ya kuhamasisha, na mfululizo huu unaendeleza urithi huo kwa kuelezea  safari zao, kujifunza kutokana na uzoefu wao, na kuhamasika na mchango wao.